Home USA Unajua fursa ya kuja USA ya GREEN CARD LOTTERY?

Unajua fursa ya kuja USA ya GREEN CARD LOTTERY?

0
Unajua fursa ya kuja USA ya GREEN CARD LOTTERY?

Miongoni za fursa za mtu kuja Marekani ni pamoja na GREEN CARD LOTTERY. Hii fursa huwa ni BURE kuomba. Application huwa inafanyika mwezi October hadi mwanzoni mwa November kila mwaka

Website ya kuomba ni www.dvprogram.state.gov

source

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here