
#BahatiNasibu #GreenCard #DVLOTTERY
Nimefanya mahojiano na baadhi ya watu waliowahi kushinda bahati nasibu ya kuwa mkazi wa kudumu wa Marekani, yaani Green Card Lottery, au Diversity Visa Lottery #DVLOTTERY
Washindi hawa wote ni Watanzania ambapo katika kipindi hiki cha kufanya maomba ya Green Card Lottery, mahojiano haya yatakupa hamasa ya wewe kufanya maombi
Application ya Green Card Lottery, DV2023 imeanza October 6 hadi November 9, 2021 na matokeo yatatoka May 7, 2022.
Application ni BURE kupitia www.dvprogram.state.gov
source